價格:免費
更新日期:2019-06-01
檔案大小:10M
目前版本:2.3
版本需求:Android 4.1 以上版本
官方網站:http://www.luico.co.tz
Email:info@luico.co.tz
聯絡地址:隱私權政策
Kitabu cha Tumwabudu Mungu Wetu chenye Nyimbo ,Liturgia na Kalenda. Pia utaweza kutuma michango kupitia app hii na kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia Maoni tutayafanyia kazi.
Malipo yamerahisishwa sana.(Kwa sasa malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje.)
JINSI YA KUNUNUA KITABU
1. Download kitabu na kukiinstall kupitia hapa Playstore (N:B hutaweza kufungua Nyimbo mpaka utakapo kilipia)
2.Sajili namba yako ya simu kwenye app
Muhimu:
Hakikisha una salio lisilopungua sh 3,000/- kwenye namba uliyosajilia(ili kupata nyimbo na liturgia), Sh1,000/- kupata kalenda
Kama huna salio kwenye namba uliyosajili ni vizuri kujaza salio kabla ya kubonyeza “nunua sasa”
3.Bonyeza “NUNUA SASA”
Kwa wateja wa TIGOPESA na MPESA malipo ni moja kwa moja ndani ya app bila kutoka nje,fuata jinsi app inavyokuelekeza
Kwa wateja wa AIRTELMONEY tu Bonyeza NUNUA SASA, nakili namba ya kampuni pamoja na kumbukumbu namba ya kufanya muamala. Utahitajika kutoka nje ya app kufanya muamala, hakikisha unafanya muamala kwa kutumia namba uliyosajilia kwenye kitabu(usitumie namba nyingine tofauti na uliyosajili kwenye kitabu kuepuka usumbufu)
Kwa wateja wa nje ya nchi tumia PESAPAL lipa kwa credit card au option mbalimbali zinazotolewa na pesapal
Leseni(license) ya matumizi ni kwa namba moja ya simu uliyosajili kwenye kitabu, ndio inayotambuliwa kwa miamala yote
Pia tuma mchango/sadaka au chochote kupitia app hii kwa kutumia sehemu ya CHANGIA
Kama una maswali, maoni unaweza wasilisha kupitia sehemu ya MAONI( tutayafanyia kazi)
MABORESHO YALIYOMO
*Nyimbo zote 440 kwa usahihi
*Kalenda ya 2019
*Liturgia iliyoboreshwa(toleo jipya la 2019)
*Tafuta ukurasa wowote wa liturgia
*Tafuta kifungu chochote(text/phrase) ndani ya liturgia
*Tafuta wimbo wowote kwa namba au jina
*Unaweza toa maoni yako mojakwamoja kupitia kitabu yatatufikia
*Unaweza kutoa mchango wako kupitia changia
*Neno la siku(notifications)
*Malipo yamerahisishwa kwa wateja wa mitandao ya VODACOM,TIGO na Airtel